Intro:
Olele olele the industry
(Chorus)
Nusu saa ya mshale nusu suruali
Nusu kwenye glass nusu bob marley
Niruhusu nisimame nikuruhusu ulale
Olele olele
Nusu saa ya mshale olele olele
Nusu bob marley olele olele
Niruhusu nisimame olele olele
nikuruhusu ulale olele olele
(verse1)
Agizia kina ritha margaritha
Usijifanye kama hujui kilichotuleta
Mawaidha kwenye party hapana kuleta
Ila kama una maombi leta later
Njaa tulishazikimbiza makilometer
Logo ni nyeusi na inameta meta
Wakati wanajiuliza kupata punch line
Me nafululiza kufanya hit song
Huku nikidunduliza so my money long
Na bado sijamaliza so the party is on
Michongo inawakimbiza usiwaone wako hoi
Usongo umenipitiliza
Sherehe zikianzia Arusha kuelekea Ibiza
Vunja nazi navunja maviza
Nachana maanga napasua giza
Me ni nuru sio wale ni kiza
Makini na jesus
So pump the cheers up
(Chorus)
Nusu saa ya mshale nusu suruali
Nusu kwenye glass nusu bob marley
Niruhusu nisimame nikuruhusu ulale
Olele olele
Nusu saa ya mshale olele olele
Nusu bob marley olele olele
Niruhusu nisimame olele olele
nikuruhusu ulale olele olele
(verse2)
Bland kubwa sio kitoto
Na show ni cash sio mkopo
Najenga nchi sitoi boko
Siri kali mbwa koko
Tokea uswazi siachi ukoko
Tokea magheto huu ndio mtoko
Matendo sina loko loko
You know we do this for the people
Siwapigi chupa wape kopo
Extra ni kwa mabinti amsha popo
Deejay na kila sekta
Charii ya Arusha nawarusha kila bata
Na mambo ya mambo ya maana tukumbuke tukila bata
Na kama mambo ya kimsingi me ni lenta
Na ka ni mambo ya kipimbi mnaleta
Motto mkali mkibetua nambenta
Na kesho morning ndio mtagundua ilikua ni penta
Makolomeo yanaita ni kiu
Na kauli mbiu leo nipo tee
Bendera hewani simamisha mlingo tee
Watu mtu kati
Ukuti univutii
Sikutii nakutia adabu
(Chorus)
Nusu saa ya mshale nusu suruali
Nusu kwenye glass nusu bob marley
Niruhusu nisimame nikuruhusu ulale
Olele olele
Nusu saa ya mshale olele olele
Nusu bob marley olele olele
Niruhusu nisimame olele olele
nikuruhusu ulale olele olele
Nusu saa ya mshale olele olele
Nusu bob marley olele olele
Niruhusu nisimame olele olele
nikuruhusu ulale olele olele
Nusu saa ya mshale olele olele
Nusu bob marley olele olele
Niruhusu nisimame olele olele
nikuruhusu ulale olele olele
(END)
0 comments:
Post a Comment